Watanzania wenzetu wamezuia kuchomwa moto kwa mpendwa wetu Augustino Michael Lukindo
aliyefariki dunia jijini Madison, jimboni Wisconsin nchini Marekani jumapili ya March 16, 2014.
Wameomba msaada kwa Watanzania
wengine waishio Marekani na kokote pale Duniani kujitahidi kadri
tuwezavyo tuweze kumstiri Mtanzania mwenzetu .Gharama za mazishi ni
$6,000 ....
jina la AC ni
↧