Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa
wa Mara Marehemu John Gabriel Tupa, baada ya mazishi yake yaliyofanyika jana
Machi 29-2014 Wilayani Kilosa Mkoani
Morogoro.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal akiweka shada la maua kwenye kaburi la
aliyekuwa mkuu wa
↧