Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze kwa tiketi
CCM,Ridhiwani Jakaya Kikwete akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha
Hondogo,Kata ya Mandera wakati wa muendelezo wa Mikutano yake ya Kampeni
za kuomba ridhaa ya kuwa Mbunge wa Jimbo hilo, Machi 29,2014.
Mbunge
wa Jimbo la Kisarawe,Suleiman Jaffo akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha
Mandera Kibaoni wakati
↧