SHIRIKA la Hifadhi za Taifa (TANAPA), limekanusha taarifa zinazodai Hifadhi ya Taifa ya Katavi ipo kwenye mpango wa kukabidhiwa kwa wawekezaji kutoka nchini Afrika Kusini.
Habari hiyo iliandikwa Machi 25 mwaka huu na gazeti moja linalotoka mara moja kwa wiki ikiwa na kichwa cha habari kinachosema, "Nyalandu 'auza' Hifadhi”.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TANAPA kupitia Idara
↧