NJIA 64 za magari ya daladala jijini Dar es Salaam zitakoma kutumika kutokana na kuanza kwa Mradi wa Mabasi yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART).
Kwa kuanzia matayarisho ya kupisha mradi huo, Wakala wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (DART) umetaka wamiliki wote wa mabasi ya daladala yanayopita katika Barabara ya Morogoro au kukatiza katika njia hiyo, kufika katika ofisi
↧