Baada ya kutolewa video yake ya Nimevurugwa kwenye tuzo za KTMA
2013/2014, Snura amefunguka kuhusu kile ambacho
kilionekana kusababisha video yake kufungiwa na kutolewa kwenye
mashindao ya Kilimanjaro Tanzania Music Awards kwa kudai kuwa kiuno chake ndo tatizo hivyo katika video yake mpya hakutakuwa na mauno ya mitego!:
"Snura mpya ataonekana kwenye video ya
↧