Staa wa kike katika muziki wa bongo, Judith Wambura a.k.a Lady Jaydeee au
Jide amefunguka kuwa yeye na mumewe, Gardner Habash ‘Kapteini’ kwa sasa
wanaishi kama kaka na dada hivyo kuibua swali kivipi?
Akizungumza
na gazeti la Ijumaa Wikienda katika mahojiano maalum yaliyofanyika kwenye mgahawa
wa staa huyo wa Nyumbani Lounge uliopo Ada Estate, Kinondoni jijini Dar
mwishoni mwa
↧