WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais
(Mahusiano), Bw. Stephen Wassira aliwavunja mbavu waombolezaji waliofika kwenye
mazishi ya aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara marehemu John Gabriel Tuppa
yaliyofanyika nyumbani kwake Kilosa mjini, mkoani Morogoro.
Akitoa salamu za rambirambi kwa
niaba ya wabunge wa mkoa wa Mara, Bw. Wassira alisema watu wote waliohudhuria
mazishi hayo wanataka kwenda peponi
↧