Mwanamke aliyetajwa kwa jina la Jessica Dutro, anakabiriwa na kesi ya
mauaji huko Washington Marekani baada ya kutuhumiwa kuwa alimpiga
mwanae wa miaka 4 hadi kumuua baada ya kuhisi kuwa atakuwa ‘shoga’.
Waendesha mashitaka walidai kuwa August 14, 2012 mama huyo aliwapiga
vibaya watoto wake watatu, lakini kipigo kilikuwa kikali zaidi kwa
mwanae aitwae Zachary Dutro- Boggess ambaye
↧