Quantcast
Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Aunt Ezekiel achizika na busu la MBWA......

  Diva wa sinema za Kibongo, Aunt Ezekiel ameonekana kuchizika na busu la mbwa baada ya kunaswa akiwa amewabeba mbwa wawili na kufurahia mmoja wapo alipombusu. Tukio hilo lilitokea juzikati nyumbani kwa Wema Sepetu, Kijitonyama, jijini Dar. Alipoulizwa furaha aliyokuwa nayo baada ya kubusiwa na mbwa huyo, Aunt alisema: “Haipimiki. Natamani na mimi kuwafuga  wawe  wananibusu  kila  siku.”Image may be NSFW.
Clik here to view.

Viewing all articles
Browse latest Browse all 45270

Trending Articles