Mvua zilizoanza kunyesha juzi usiku na kuendelea jana
jijini Dar es Salaam zimesababisha adha katika makazi ya watu hasa
wanaoishi katika maeneo ya mabondeni na watumiaji wa barabara kutokana
na miti kuanguka na kuziba njia huku maji yakijaa barabarani na
kusababisha ugumu kwa vyombo vya moto kupita....
<!-- adsense -->
↧