Watanzania wafanyishwa UKAHABA nchini China.....Waziri Membe asema kuna...
WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebaini kuwepo mtandao wa wanaosafirisha wasichana wenye umri mdogo kutoka nchini na kuwapeleka China kisha kuwafanyisha vitendo vya ukahaba pasipo...
View ArticleTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabaini kuwepo kwa hujuma katika uchaguzi...
TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imebaini kuwepo kwa hujuma katika uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chalinze unaotarajiwa kufanyika Aprili 6, mwaka huu. Uchaguzi huo unafanyika baada ya nafasi hiyo kuwa...
View ArticleBunge la katiba lavurugika....Vurugu zaibuka, wajumbe wazomeana na kurushiana...
TAARIFA ya kuwepo kwa marekebisho mapya ya Kanuni za Bunge Maalumu la Katiba, zimesababisha vurugu, kurushiana matamshi yasiyo ya staha na kuzomeana bungeni, huku Mwenyekiti wa Bunge Maalum, Samuel...
View ArticleBunge Kusitishwa....Ni kutokana na kupigwa kalenda mara kwa mara....Pinda...
KAMA mwenendo wa Bunge Maalumu la Katiba utaendelea kama linavyokwenda, uchaguzi wa Serikali za Mitaa uliotarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwaka huu, unaweza kusogezwa mbele hadi mwakani. Waziri...
View ArticleFilamu ya Wema Sepetu 'Madame' kuingia sokoni leo
Filamu aliyoigiza Wema Sepetu kama mhusika mkuu iliyopewa jina la Madame (Our Own Crazy Bosy Lady) iliyotayarishwa na kampuni ya Simulizi African Entertainment itaingia sokoni leo (March 27). Filamu...
View ArticleKampeni za ubunge Chalinze: Viongozi wa CUF wavamia ofisi za CCM na kumvunja...
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM Nape Nnauye akizungumza na Mwenyekiti wa UWT Kata ya Ubena Jesca Daudi ambaye alivunjwa mkono na Viongozi wa CUF waliovamia ofisi ya kata kwenye kijiji cha...
View ArticleWanafunzi wawili wa chuo cha Mwenge Moshi wakamatwa kwa kosa la kuwabaka...
Ofisa wa Polisi anayeshughulikia Dawati la Jinsia na Watoto, Afande Kasusura akiwa na bwana Majaliwa ambaye ni mmoja wa watuhumiwa wa ubakaji. Mtuhumiwa Majaliwa akioneshwa watoto alioshiriki...
View ArticleMaelfu wajitokeza kuuaga mwili wa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Mara, Marehemu...
Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara. Kutoka kushoto Kaimu kamanda wa polisi mkoa wa Mara Poul Kasabago, mjumbewa NEC wa CCM Christopher Gachuma , Mjumbe wa NEC wa bunda CCM....
View Article"Kipi Sijasikia???...Mlisema Profesa Jay ana UKIMWI, Profesa Jay Kafulia..Ohh...
Joseph Haule aka Prof. Jay baada ya kuwa kimya sasa anakuja na ngoma yake ya ‘Kipi Sijasikia’ akimshirikisha mkali wa Bongo flava Diamond Platnumz. Wimbo wa Prof. Jay umefanyika katika studio ya...
View ArticleMvua zilizonyesha usiku wa kuamkia March 27 jijini Dar es Salaam...
Mvua zilizonyesha usiku kucha( kuamkia March 27) jijini Dar es salaam zimesababisha madhara makubwa Msasani village katika makazi ya watu baada ya maji kujaa hadi ndani na magari kushindwa kutoka...
View ArticleAmanda amwagiwa matusi mazito facebook
Mwanadada anayeuza nyago kwenye filamu za Kibongo, Tamrina Poshi ‘Amanda’ amejikuta katika wakati mgumu baada ya kumwagiwa matusi na mdada wa mjini aliyejulikana kwa jina la Jesca kisa kikidaiwa ni...
View ArticleKutokwa na damu bila mpangilio Ukeni....
Tatizo hili huwasumbua wanawake wengi walio katika umri wa kuzaa na baadhi ya wanawake ambao tayari wameshafikia ukomo wa kuzaa. Kwa mwanamke aliyekwishafunga kupata hedhi kuendelea kupata damu ya...
View ArticleJackline Wolper na Irene Uwoya wamaliza ugomvi wao wa muda mrefu baada ya...
Ule ugomvi uliokuwepo kwa takribani miaka miwili kati ya mastaa wakubwa na warembo Jackline Wolper na Irene Uwoya hatimaye umefikia tamati baada ya kupatanishwa juzi. Wawili hao walidaiwa kuingia...
View ArticleUtafiti: Wananchi wengi wakubali Ridhiwani Kikwete kuwa Mbunge wa jimbo lao...
WANANCHI wa vijiji kadhaa vilivyomo katika Jimbo la Chalinze, ambalo Aprili 6, mwaka huu litafanya uchaguzi mdogo wa Ubunge, wamempa nafasi kubwa ya kuibuka mshindi mgombea wa Chama Cha Mapinduzi...
View ArticleSerikali imetenga Shilingi Milioni Mia Tano (Tshs 500m) kwa Halmashauri 41...
Rais Jakaya Mrisho Kikwete amewaambia Wananchi wa Tanga, jana tarehe 27 Machi,2014 wakati akihutubia Mkutano wa hadhara katika barabara ya Karume kuwa; "Tayari Halmashauri za Mkinga, Pangani na Kilindi...
View ArticleMagazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 28 March 2014
Magazeti ya leo Ijumaa ya tarehe 28 March 2014 <!-- adsense -->
View ArticleMwigulu Nchemba awatuhumu Freeman Mbowe na Ismail Jussa kwamba wanataka...
Naibu Katibu wa Fedha, Mwigulu Nchemba jana katika Bunge Maalum La Katiba alichafua hali ya hewa baada ya kumwambia Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe na mwakilishi wa Mji Mkongwe, Ismail...
View ArticleRais Kikwete atoa msimamo endapo bunge litavunjika....Asema katiba ya zamani...
RAIS Jakaya Kikwete amesema kama mchakato wa upatikanaji Katiba Mpya utakwama kwa namna yoyote, Katiba iliyopo sasa itafanyiwa marekebisho na kuendelea kutumika. Alisema kama Kiongozi Mkuu wa...
View ArticleWanaume wa Korea Kaskazini waamriwa kunyoa style moja ya nywele ya kiongozi...
Hii ndio ‘Dear Leader’ style wanayotakiwa kunyoa wanaume wa Korea Kaskazini ** Tumekuwa tukisikia sheria mbalimbali zikipitishwa katika nchi mbalimbali zinazowataka watu wavae au wasivae mavazi ya aina...
View ArticleVideo: Jay Mo, Profesa Jay & Juma Nature wavaa gwanda za kijeshi na kutoa...
Wasanii manguli wa Tanzania ambao majina yao yanaanzia na J, Juma Mchopanga aka Jay Mo, Joseph Haule aka Profesa Jay na Juma Cassim aka Nature wameingia studio kufanya ngoma mpya iitwao ‘JWTZ’. Wimbo...
View Article