Diamond awachana BASATA kutokana na kuziondoa nyimbo za Jux, Madee na Snura...
Ni msanii ambaye anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana...
View ArticleTangazo la Serikali kuhusu kuvunjwa kwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba......
TANGAZO LA SERIKALI KUHUSU KUVUNJWA KWA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA Mhe. Rais aliunda Tume ya Mabadiliko ya Katika kwa mujibu wa kifungu cha 5 na 6 cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura ya 83 kwa...
View ArticleBaada ya tukio la Westgate, hili ni tukio jingine la kigaidi lililoitikisa...
Baada ya tukio la Westgate ambalo lilichukua maisha ya watu wengi, jiji la Nairobi limekumbwa na tishio jingine la aina hiyo kwenye eneo la biashara la Nakumatt Junction Barabara ya Ngong ambapo...
View ArticleMichael Agustine Lukindo ni mtanzania aliyefariki nchini Marekani....Mwili...
Mtanzania mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu zake wanatafutwa. Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita,...
View ArticleSalamu za Rambirambi za Rais Kikwete kufuatia kifo cha mkuu wa mkoa wa Mara
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Jakaya...
View ArticleWatanzania 15 wahukumiwa kunyongwa nchini China...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M. Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing wakati wa mkutano na...
View ArticleBatuli awaijia juu mastaa wanaowaharibia.....Adai kuwa tabia mbaya za baadhi...
MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema tabia mbaya za baadhi ya wasanii wenzao ndizo zinazowaharibia na kuwafanya wote waonekane hawana maadili. Akiongea na GPL, Batuli alisema...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatano ya tarehe 26 March 2014
Magazeti ya leo Jumatano ya tarehe 26 March 2014 <!-- adsense -->
View ArticleLulu Michael akubali kupiga picha za nusu uchi kwa ajili ya kuupamba ukurasa...
Baada ya Jokate Mwengelo , Diamond Platnumz, Wema Sepetu na Mr.Blue kutokea kwenye ukurasa wa mbele wa vibe tz magazine, Lulu Michael naye amekubali kuchukuliwa akiwa nusu uchi kwa ajili ya...
View ArticleHabari njema kwa watu wanaopenda Video za Vichekesho....Fichuka wameamua...
Kampuni ya Fichuka Development Agency wameanzisha mtandao unaoitwa Fichuka Video Network kwa ajili ya kukuvunja mbavu kwa video zao za Vichekesho, Mafundisho na habari muhimu...... Video...
View ArticleVyeti feki 1,035 vyakamatwa kwa waombaji wa kazi nchini
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekamata vyeti feki 1,035 (sawa na asilimia1.6) ya maombi ya kazi yaliyotumwa kwa miaka minne tangu kuanzishwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleJaji Joseph Warioba afunguka....Atoa ufafanuzi wa baadhi ya hoja zake...
Wakati Ikulu ikitangaza kwamba Rais Jakaya Kikwete amevunja Tume ya Mabadiliko ya Katiba, tume hiyo imetoa ufafanuzi wa baadhi ya maeneo ya Rasimu ya Katiba. Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jana,...
View Article"Nilipingana na Mwl. Nyerere....Nikafukuzwa ukuu wa Mkoa"....Kingunge...
Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru, alisema kuwa aliwahi kuvuliwa wadhifa wa ukuu wa mkoa kwa sababu ya kutofautiana kimtazamo na hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K....
View ArticleJuhudi za kuiondoa Risasi ndani ya ubongo wa mtoto zaongezeka....Mtoto huyo...
Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya kupigwa risasi....
View ArticlePicha nne za Shilole akiwa na "Serengeti Boy" wake ndani ya mahaba mazito
KWA mara nyingine, staa anayekimbiza kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’ ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki wa Bongo Fleva, Nouh...
View ArticleMwenyekiti wa bunge asema hotuba ya Rais Kikwete na Jaji Warioba...
Na Magreth Kinabo – Maelezo,Dodoma Mwenyekiti wa Bunge Maalum Katiba ,Mhe .Samwel Sitta amesema Bunge halitajadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete na ile ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba,...
View ArticleWajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba watakiwa kuzingatia Maslahi ya Taifa na...
Na Magreth Kinabo – Maelezo, Dodoma Baadhi ya wajumbe wa Bunge la Maalum la Katiba wamewataka wajumbe wenzao kujitika katika mchakato wa mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya itakayozingatia maslahi ya...
View ArticleDiamond avalishwa wigi la Wema Sepetu....Ukikutana naye barabarani lazima...
Picha ame-post Wema Sepetu na kwa maoni yake anasema wigi hilo limempendeza Diamond... Angalia huo muonekano wake na unadhani siku moja Diamond akuze nywere zake ziwe nyingi kama hizo?..comment mawazo...
View ArticleMagazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 27 March 2014
Magazeti ya leo Alhamisi ya tarehe 27 March 2014 <!-- adsense -->
View ArticleUKAWA wazungumzia sababu za KUIGOMEA Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba siku...
Kwenye video iliyopachikwa hapo chini, viongozi wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, waheshimiwa. James Mbatia, Freeman Mbowe na Prof. Ibrahim Lipumba...
View Article