Baada ya tukio la Westgate ambalo lilichukua maisha ya watu wengi,
jiji la Nairobi limekumbwa na tishio jingine la aina hiyo kwenye eneo la
biashara la Nakumatt Junction Barabara ya Ngong ambapo yamekutwa
masanduku manne ya kubebea risasi kwenye eneo la kuegesha magari kwenye
vyumba vya chini (Basement).
Masanduku hayo yalipatikana ndani ya toroli la kubebea mzigo kutoka
kwenye duka
↧