Mtanzania
mwenzetu amefariki Madison Wisconsin nchini Marekani, na kwa sasa ndugu
zake wanatafutwa.
Yeye ni mtu wa Tanga kwa jina la Michael Agustine
Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya miaka
30. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa
1989.
Familia
yake haijui ndugu wa Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi March 29,
2014,
↧