TAARIFA KWA VYOMBO VYA
HABARI
SALAMU ZA RAMBIRAMBI ZA RAIS
WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia Salamu za Rambirambi Waziri wa
Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa
na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Mhe.
Hawa A. Ghasia kufuatia kifo cha Mkuu wa
↧