Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John M.
Haule (kushoto) akiwa pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China
nchini Tanzania, Mhe. Lu Youqing wakati wa mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika katika ukumbi wa Idara ya Habari maelezo
siku ya Jumanne tarehe 25 Machi, 2014. Mkutano huo ulizungumzia
maadhimisho ya miaka 50 ya ushirikiano wa
↧