MSANII wa filamu za Kibongo, Yobnesh Yusuph ‘Batuli’ amesema
tabia mbaya za baadhi ya wasanii wenzao ndizo zinazowaharibia na
kuwafanya wote waonekane hawana maadili.
Akiongea na GPL, Batuli alisema amekuwa akipata malalamiko kuwa
hawatumii katika filamu zake watoto Jenifer na Jamila waliokuwa
wakifanya kazi na marehemu Steven Kanumba, jambo ambalo amelikanusha.
“Siwezi
↧