Sekretarieti
ya Ajira katika Utumishi wa Umma imekamata vyeti feki 1,035 (sawa na
asilimia1.6) ya maombi ya kazi yaliyotumwa kwa miaka minne tangu
kuanzishwa kwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Tangu wakati huo, jumla ya watu 65,000 walijitokeza na kuomba kazi katika sekretarieti hiyo.
Akizungumza na NIPASHE, Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Sekretarieti ya
Ajira, Riziki
↧