Mjumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru, alisema kuwa
aliwahi kuvuliwa wadhifa wa ukuu wa mkoa kwa sababu ya kutofautiana
kimtazamo na hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius K. Nyerere.
Kingunge alikumbushia tukio hilo juzi katika semina ya waandishi wa
habari iliyofanyika mjini Dodoma katika Ukumbi wa Msekwa, naye akiwa
mmoja wa watoa mada.
Akijibu swali la
↧