Kwenye video iliyopachikwa hapo chini, viongozi wa Umoja wa Katiba ya
Wananchi (UKAWA) ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba,
waheshimiwa. James Mbatia, Freeman Mbowe na Prof. Ibrahim Lipumba
wanazungumzia sababu za kuigomea Kamati ya Kanuni ya Bunge la Katiba
siku ya Jumatano, Machi 26, 2014.
↧