WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, imebaini kuwepo mtandao wa wanaosafirisha wasichana wenye umri mdogo kutoka nchini na kuwapeleka China kisha kuwafanyisha vitendo vya ukahaba pasipo ridhaa yao.
Hayo yalisemwa jijini Dar es Salaam jana na Waziri wa Wizara hiyo, Bernard Membe, wakati akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na masuala mbalimbali yanayohusu wizara
↧