Na Magreth Kinabo – Maelezo,Dodoma
Mwenyekiti wa Bunge Maalum Katiba ,Mhe
.Samwel Sitta amesema Bunge halitajadili hotuba ya Rais Jakaya Kikwete
na ile ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph
Warioba kama alivyokuwa ametangaza awali kwa kuwa kufanya hivyo
kutaingilia mchakato wa mjadala wa Rasimu ya Katiba Mpya.
Mhe. Sitta ametangaza uamuzi huo leo
mapema asubuhi
↧
Mwenyekiti wa bunge asema hotuba ya Rais Kikwete na Jaji Warioba HAZITAJADILIWA na bunge hilo......
↧