KWA mara nyingine, staa anayekimbiza
kwenye filamu na muziki wa mduara, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ au ‘Shishi’
ameibuka katika penzi jipya na bwana mdogo anayechipukia katika muziki
wa Bongo Fleva, Nouh Mziwanda, Risasi Mchanganyiko limeinasa.
Kwa mujibu wa chanzo chetu, Shilole kwa
sasa hasikii wala haoni kwa Nouh pamoja na kwamba wawili hao wanaonekana
kuwa na tofauti kubwa ya
↧