Ni msanii ambaye anaweza kuwa ametajwa zaidi kwenye tuzo za KTMA 2014 lakini Diamond
Platnumz hajaliacha Baraza la Sanaa Tanzania likae kwa amani kwa uonevu
ilioufanya kwa Jux, Madee na Snura kutokana na kuziondoa nyimbo zao
kwenye mchakato wa KTMA 2014.
Kupitia Instagram, Diamond ameandika:
"Ikiwa kweli tunalengo la kutoipotosha kimaadili jamii yetu na
vizazi vyetu pendwa,
↧