Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeziondoa nyimbo tatu kwenye
mchakato wa tuzo za muziki Tanzania, KTMA kwa madai kuwa zinakiuka
maadili ya Kitanzania. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Nimevurugwa’ wa Snura,
‘Uzuri wako’ wa Jux na ‘Tema Mate’ wa Madee.
Akizungumza nasi leo baada ya kupata taarifa ya kuondolewa wimbo
wake kwenye tuzo hizo, Madee amesema hajapendezwa na hatua
↧