Picha nne za muonekano mpya wa msanii Lulu Michael.... Bado yuko HOT..
Huu ni muonekano mpya wa binti mrembo maarufu kwa jina la Lulu Michael akiwa ndani ya mapozi hatari <!-- adsense -->
View ArticleRay C aanza kulimezea mate penzi la Diamond Platinumz....Mikakati ya...
Ray C ambaye anajipanga kurudi kwa kasi katika muziki wa Bongofleva anadaiwa kulimezea mate penzi la Diamond Platinumz huku akihaha usiku na mchana kumpata kwa kumpindua Wema Sepetu ambaye kwasasa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 24 March , 2014
Magazeti ya leo Jumatatu ya tarehe 24 March , 2014 <!-- adsense -->
View ArticleRais Kikwete hakukosea....Alieleza faida na hasara za mifumo ya serikali,...
Said Nkumba ** KITENDO cha baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, kukosoa hatua ya Rais Jakaya Kikwete kutoa maoni yake kuhusu rasimu ya Katiba, kimekosolewa. Pia, imesisitizwa kuwa hakukosea...
View ArticleJeshi la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limemkamata mbunge wa jimbo la...
Jeshi la polisi wilayani Nzega mkoani Tabora limemkamata mbunge wa jimbo la Nzega Dkt. Hamis Kigwangalla aliyekuwa kwenye maandamano ya wachimbaji wadogo wa dhahabu ya kupinga kufungwa kwa machimbo yao...
View ArticleNdenge ya Malaysia iliyopotea ilianguka baharini.....Hakuna mtu aliyenusurika
Waziri Mkuu wa Malaysia Najib Razak akitangaza leo juu ya utafiti wa rada kuonyesha kuwa ndege iliyopotea imeangukia katika bahari ya Hindi. Tangazo hilo limetolewa wakati ndege ya majini ya...
View ArticleHii ni Video Mpya ya Shilole iitwayo "CHUNA BUZI"
Itazame hapa video mpya kutoka kwa Shilole,wimbo unaitwa 'Chuna Buzi',Video imeongozwa na director Nisher.
View ArticleZaidi ya wafanyakazi 200 wa kampuni ya Shoprite maeneo ya Kamata - DSM wamegoma
Zaidi ya wafanyakazi mia mbili wa kampuni ya maduka makubwa ya Shoprite maeneo ya Kamata jijini Dar es salaam wamegoma kufanya kazi kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa malimbikizi yao baada ya...
View ArticleBunge maalumu la katiba limeunda kamati 12 za kujadili na kupitia rasimu ya...
Bunge maalumu la katiba limeunda kamati 12 za kujadili na kupitia rasimu ya katiba kifungu kwa kifungu na kisha kuwasilisha maboresho na mapendekezo katika rasimu hiyo bungeni kwa ajili ya kutengeneza...
View ArticleMwanafunzi wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Makongo afariki dunia katika...
Mwanafunzi wa kidato cha nne, Shule ya Sekondari Makongo, Priscus Mallya, amefariki dunia katika ajali iliyolihusisha lori na Bajaj katika barabara ya Ali Hassan Mwinyi eneo la Bamaga, Dar. Kwa...
View ArticleMagazeti ya leo Jumanne ya tarehe 25 March 2014
Magazeti ya leo Jumanne ya tarehe 25 March 2014 <!-- adsense -->
View ArticlePicha nne za Msanii Mustapha zilizomfanya Nyota Ndogo aongoze maandamano...
Suala la msanii wa Kenya, Colonel Mustapha kupost picha akiwa na Huddah Monroe zilizoweka alama nyingi za kuuliza kwa wana maadili limeendelea kuwa mwiba kwake. Siku kadhaa baada ya Huddah kudai kuwa...
View ArticleWabunge wakubaliana kuzijadili hotuba za Rais Kikwete na Jaji Joseph...
HOTUBA iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete pamoja na ya Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba zitajadiliwa bungeni baada ya Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta,...
View ArticleHabari mpya kuhusu shambulizi la Kanisa lililoko Mombasa na mtoto ambae mpaka...
Idadi ya waliofariki kutokana na shambulizi la Kanisa Mombasa Kenya March 23 2014 imefikia sita ambapo wote hao vifo vyao vimetokana na majereha ya risasi huku wengine tisa waliokua wakipata matibabu...
View ArticleRais wa Kenya, Uhuru Kenyatta aja Tanzania kwa usafiri wa gari , safari ya...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta jana alisafiri kuelekea mkoani Arusha nchini Tanzania kwa usafiri wa gari kwa njia ya barabara, safari ya umbali wa kilometa 230. Rais Kenyatta alisimama katika maeneo...
View ArticleMgogoro wa mpaka wa Tanzania na Malawi waendelea kutokota:Jopo la usuluhishi...
Jopo la usuluhishi wa mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa linaloongozwa na Mwenyekiti wake, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano, limezishauri Tanzania na Malawi, kubadilishana hoja kwa njia za...
View ArticleBaba amnyonga mwanae wa mwaka mmoja na kuacha ujumbe usemao: “Unyama...
MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana. Kamanda wa Polisi...
View ArticleMkuu wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa afariki dunia Ghafla akiwa...
MKUU wa mkoa wa Mara, Bw. John Gabriel Tuppa, amefariki dunia ghafla leo majira ya saa 4.30 asubuhi baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa wilaya ya Tarime mkoani Mara....
View ArticleNape Nnauye amnadi Ridhiwani Kikwete kwa wana Chalinze
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwahutubia wakazi wa kijiji cha Mkoko wakati wa mkutano wa hadhara wa kampeni za kumnadi kumgombea Ubunge jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM Ndugu...
View ArticleMadee alalamika baada ya wimbo wake kuondolewa kwenye KTMA 2014
Baraza la Sanaa la Taifa, BASATA limeziondoa nyimbo tatu kwenye mchakato wa tuzo za muziki Tanzania, KTMA kwa madai kuwa zinakiuka maadili ya Kitanzania. Nyimbo hizo ni pamoja na ‘Nimevurugwa’ wa...
View Article