Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta jana alisafiri kuelekea mkoani Arusha
nchini Tanzania kwa usafiri wa gari kwa njia ya barabara, safari ya umbali
wa kilometa 230.
Rais Kenyatta alisimama katika maeneo kadhaa kabla ya kuvuka mpaka wa
Namanga kwa kutumia kitambulisho kipya kinachoruhusu wananchi wa nchi
zinazounda Jumuiya ya Afrika Mashariki kutumia kusafiri baina ya nchi
hizo kwa urahisi
↧
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta aja Tanzania kwa usafiri wa gari , safari ya umbali wa kilometa 230.
↧