Jopo la usuluhishi wa mgogoro wa mpaka wa Ziwa Nyasa linaloongozwa na
Mwenyekiti wake, Rais mstaafu wa Msumbiji, Joachim Chissano,
limezishauri Tanzania na Malawi, kubadilishana hoja kwa njia za
majadiliano badala ya kufikishana kwenye Mahakama ya Haki ya Kimataifa
(ICJ).
Ushauri huo ulitolewa na jopo hilo juzi katika mkutano uliozikutanisha
pande mbili hizo, mjini Maputo, Msumbiji,
↧