MTOTO mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi saba, Henry Juma, amenyongwa na baba yake mzazi hadi kufa na kisha mwili wake kulazwa kitandani na mtuhumiwa kutokomea kusikojulikana.
Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya , Ahmed Msangi alisema jana mauaji hayo yalifanyika katika eneo la Migombani katika Mji mdogo wa Tunduma.
Alisema pembeni mwa mwili wa marehemu ulikutwa ujumbe unaosadikiwa
↧