MKUU wa mkoa wa Mara, Bw. John
Gabriel Tuppa, amefariki dunia ghafla leo majira ya saa 4.30 asubuhi
baada ya kuugua kwa muda mfupi ugonjwa wa shinikizo la damu akiwa wilaya
ya Tarime mkoani Mara.
Katibu tawala wa mkoa wa Mara,
Bw. Benedict Ole Kuyan, amesema kuwa Bw. Tuppa kabla ya kifo chake leo
asubuhi akiwa na afya njema alifika katika ofisi ya za mkoa na kumuaga
kuwa
↧