Zaidi ya wafanyakazi mia mbili wa kampuni ya maduka
makubwa ya Shoprite maeneo ya Kamata jijini Dar es salaam wamegoma
kufanya kazi kushinikiza uongozi wa kampuni hiyo kuwalipa malimbikizi
yao baada ya mwajiri wao kuuza kampuni hiyo kwa mwekezaji mwingine na
kusitisha mikataba yao bila kuwalipa malimbikizi yao.
Mwandishi wetu amefika eneo la duka hilo lililopo maeneo ya
kamata
↧