Rais Kikwete amekwishaanza kulihutubia bunge la Katiba.... Bofya hapa...
Rais Kikwete amekwishaanza kulihutubia bunge la Katiba.... Bofya hapo chini kumsikiliza moja kwa moja toka Bungeni Dodoma MPEKUZI
View ArticleDondoo muhimu za Hotuba ya Rais Kikwete aliyoitoa leo Bungeni.....
Nawapongezeni kwa Kuwa sehemu ya Kuandika historia Mpya kwa Taifa la Tanzania,Mkitunga Katiba Bora Majina yenu yataandikwa kwa Wino wa Dhahabu. Naombeni Mtunge Katiba Itakayo Dumisha Umoja wetu,Asili...
View ArticleHotuba ya Rais Kikwete wakati wa kulihutubia bunge maalumu la katiba, tarehe...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE, WAKATI WA KULIHUTUBIA BUNGE MAALUM LA KATIBA, TAREHE 21 MACHI, 2014, DODOMA Pongezi Nakushukuru sana Mheshimiwa...
View ArticleHappiness (Miss Tanzania 2013) aeleza kwa nini hawezi kushiriki kwenye video...
Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa hana mpango wa kuonekana kwenye video za wasanii wa bongo flava ama filamu kama baadhi ya washiriki wa shindano hilo. Happines Watimanywa ameiambia Times...
View ArticleLoveness Diva atukanwa baada ya kumtaka kimapenzi Lulu Michael...."Nampenda...
Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa Clouds fm kipindi cha Ala Za Roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusian juzi usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji...
View ArticleRidhiwani Kikwete aahidi kuongeza shule na mabweni Chalinze endapo wananchi...
Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwan Kikwete amewaahidi wananchi wa Kata ya Ubena kuwatatulia tatizo la watoto wao kutembea umbali mrefu kwa kuongeza idadi ya shule na mabweni mapya...
View ArticleCHADEMA yaahidi amani na maendeleo Chalinze endapo mgombea wake atachaguliwa...
Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Chadema) Mkoa wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo kumchagua...
View ArticleWajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba washindana kumshangilia mh. Rais kutokana...
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya Kikwete. Mwandishi wetu alishuhudia baadhi ya wajumbe wa CCM...
View ArticleMtalii kutoka nchini Ujerumani akwama katika kilele cha Mawenzi mlima...
Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani...
View ArticleBunge la Kenya lakubali ndoa ya wake wengi....Mwanaume anaruhusiwa kuoa...
Bunge nchini Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo. Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa...
View ArticleChina yasema imeona kitu katika bahari ya Hindi kinachodhaniwa ni mabaki ya...
Picha iliyotolewa na vyombo vya habari vya China vikionyesha kitu kipya kilichogunduliwa na satellite za nchi hiyo kikielea katika Bahari ya Hindi ambacho kinahisiwa huenda kikawa na uhusiano na ndege...
View ArticleMtalii aliyekwama kilele cha Mawenzi mlima kilimanjaro aokolewa
Mtalii Jeanne Traska kutoka Ujerumani Bi.Jeanne Traska kutoka Ujerumani na Muongoza Wageni Athumani Juma wakiwa katika Lango la Marangu pamoja na vifaa mbalimbali walivyokwama navyo katika kilele cha...
View ArticleWatu wanne wauawa kinyama ndani ya kanisa mjini Mombasa
Watu wane wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi waliokuwa wamejihami kwa bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church lililo karibu na mji...
View ArticleMuonekano Mpya wa msanii Irene Uwoya.....
Huu ni muonekano mpya wa msanii Irene Uwoya akiwa ndani ya pozi matata! <!-- adsense -->
View ArticleMabanda yanayoonyesha video chafu za ngono yafutiwa leseni
Serikali mkoani Pwani imefuta vibali vya uendeshaji wa mabanda ya kuonyesha video wilayani Kibaha pamoja na kuanzisha uchunguzi wa wanafunzi wa shule msingi wanaojihusisha na vitendo vya ulawiti....
View ArticleRidhiwani Kikwete aishuhudia shule iliyoezuliwa paa na kimbunga katika kijiji...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze kwa tiketi ya CCM, Ridhiwani Kikwete akipata maelezo kutoka kwa Mtendaji wa Kijiji cha Kikwazu, Mussa Yahaya kuhusu shule ya msingi Kikwazu...
View ArticleBoti yazama na kuua wakimbizi 25 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo...
MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama. Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali...
View ArticleMastaa wanaswa laivu wakifanya vitendo vya laana
Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska...... Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza. Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo...
View ArticleMashoga wazidi kuongezeka Bongo....Nini hasa sababu?....Au wateja wamezidi...
Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa.......
View Article