Watu wane wameuawa baada ya watu wanaosadikiwa kuwa ni magaidi waliokuwa wamejihami kwa
bunduki kuwafyatulia risasi ndani ya kanisa linalojulikana kwa jina la Joy Jesus Church lililo karibu na mji wa bandari ya
Mombasa nchini kenya....
Watu wengine kumi na saba wamejeruhiwa. Maafisa wa polisi katika wilaya ya Likoni ambayo
iko kusini mwa Mombasa wamesemaImage may be NSFW.
Clik here to view.
Clik here to view.
