Mtalii Jeanne Traska kutoka Ujerumani
Bi.Jeanne
Traska kutoka Ujerumani na Muongoza Wageni Athumani Juma wakiwa katika
Lango la Marangu pamoja na vifaa mbalimbali walivyokwama navyo katika
kilele cha Mawenzi Mlimani Kilimanjaro mara baada ya kuokolewa.
*********
Kikosi cha
Uokoaji katika Hifadhi ya Taifa Kilimanjaro kimefanikiwa kumuokoa mtalii Bi. Jeanne Traska (32) kutoka Ujerumani
↧