Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba jana waligawanyika katika
kushangilia hotuba ya ufunguzi wa Bunge hilo iliyotolewa na Rais Jakaya
Kikwete.
Mwandishi wetu alishuhudia baadhi ya wajumbe wa CCM
wakidiriki hata kusimama, huku wakipiga makofi wakati Rais Kikwete
alipokuwa akielezea upungufu aliouona katika Rasimu ya Pili ya Katiba.
Pia kwa upande mwingine, baadhi ya wajumbe
↧