Mtalii kutoka nchini Ujerumani anayefahamika
kama Bi. Jeanne Traska (32) akiwa na muongoza wageni Athuman Juma leo majira ya
saa mbili na nusu asubui wamekwama katika kilele cha Mawenzi Mlimani
Kilimanjaro kwa kamba iliyonasa na kuwafanya wasiweze kushuka chini wala kwenda
juu.
Bi. Jeanne na Athuman Juma walianza kupanda
mlima kupitia Kampuni ya Nordic Tours tarehe 18.3.2014 kwa
↧