Bunge nchini Kenya limepitisha sheria inayomruhusu mwanaume kuoa wake wengi atakavyo, na halazimiki kumshauri mke wake juu ya uamuzi huo.
Katika marekebisho ya Sheria ya Ndoa ya Kenya yaliyopitishwa Alhamisi iliyopita,ndoa zote zitatakiwa kusajiliwa na umri wa chini wa mwanamke kuweza kuolewa umewekwa ili kuzuia ndoa za mapema za watoto, hasa wasichana.
Siku hiyo ya Alhamisi Wabunge
↧