Mwenyekiti wa Baraza la Vijana (Chadema) Mkoa
wa Pwani, Elison Kinyaha amesema ili kudumisha maendeleo, upendo na
amani ndani ya Jimbo la Chalinze, upo ulazima wa wakazi wa jimbo hilo
kumchagua Mathayo Torongey katika uchaguzi mdogo unaotarajia kufanyika
mapema Aprili 6, mwaka huu.
Kinyaha alisema kutokana na uelewa mpana wa wakazi
wa jimbo hilo ni wazi kuwa chama hicho ndicho
↧