Mgombea Ubunge wa CCM wa Jimbo la Chalinze,
Ridhiwan Kikwete amewaahidi wananchi wa Kata ya Ubena kuwatatulia
tatizo la watoto wao kutembea umbali mrefu kwa kuongeza idadi ya shule
na mabweni mapya kwenye kata hiyo.
Alisema amekuwa akiumia kuwaona vijana wa shule
za sekondari wanaolazimika kutembea umbali wa zaidi ya kilometa 15
kufuata masomo na kuomba ridhaa ya wananchi ili
↧