Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa Clouds fm
kipindi cha Ala Za Roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusian juzi
usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji Elizabeth Michael a.k.a Lulu na kudai kuwa anampenda sana...
"Kutoka moyoni nampenda
sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumtongoza, sema mimi ni mwanamke tu"
Hii ilikuwa
↧