Miss Tanzania 2013, Happiness Watimanywa hana mpango wa kuonekana
kwenye video za wasanii wa bongo flava ama filamu kama baadhi ya
washiriki wa shindano hilo.
Happines Watimanywa ameiambia Times Fm kuwa yeye binafsi
hana mpango wa kuingia kwenye video za wasanii kama video vixen/video
queen kwa kuwa hana kipaji hicho na hana mzuka wa kuonekana kwenye
tasnia hizo.
“My passion
↧