MIILI 25 imepatikana Ziwa Albert baada ya boti iliyokuwa imebeba wakimbizi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuzama.
Wakimbizi hao walikuwa wakitoroka kutoka kambi ya wakimbizi ya Kyangwali wilayani Hoima magharibi mwa Uganda, wakirejea kwao.
Kwa sasa Jeshi la polisi linaendelea na jitihada za kutafuta miili
zaidi. Kamanda wa polisi wa eneo hilo John Ojukuna amesema watu 43
↧