Baadhi ya mastaa wamenaswa laivu wakifanya vitendo
vilivyotafsiriwa kuwa vya kifuska......
Baadhi ya mastaa wakionyeshana ufundi wa kucheza.
Tukio hilo lilijiri kwenye Ukumbi wa Letasi Lounge uliopo maeneo ya
Victoria, Dar wikiendi iliyopita ambapo kulikuwa na Kibao Kata cha mtoto
wa mjini, Rose Alphonce Nungu ‘Muna Love’.
Ilikuwa ni full kukata mauno ndani ya Letasi Lounge.
↧