Nimepita pita huko mitaani hasa Kinondoni, kwenye mahotel ,ma bar na
kumbi za starehe, nimeshangaa sana kuona wakaka poa kibao, tena
wamejiremba kama wadada vile, nao wakijiuza kama machangudoa....
Nini hasa
tatizo ?? Toa maoni na mtazao wako juu ya swala hili labda tunaweza pata wazo jipya kuhusu hawa watu...
>>Udakuspecially
<!-- adsense -->
↧