Nawapongezeni kwa Kuwa sehemu ya
Kuandika historia Mpya kwa Taifa la Tanzania,Mkitunga Katiba Bora Majina
yenu yataandikwa kwa Wino wa Dhahabu.
Naombeni Mtunge Katiba Itakayo Dumisha Umoja wetu,Asili zetu,Katiba ambayo haitatutenganisha kirangi,Kisiasa au Kiimani.
Kihistoria hii ni Mara ya 3 Katiba
ya Tanzania Inatungwa Upya,Tofauti na Vipindi Vingine.Kipindi hiki
Utungaji wa
↧