Athari za Mgomo wa Daladala Mkoani Morogoro....Wananchi wamelazimika kutumia...
Hali si nzuri mkoani Morogoro leo hii ambapo madereva daladala wamegoma kutoa huduma kwa kile kinachoelezwa kuwa ni kupinga kukamatwa ovyo na na kutozwa faini kubwa na mamlaka za usalama...
View ArticleNdugu na jamaa wa abiria waliopotea na ndege ya Malaysia waishutumu...
Ndugu na jamaa wa abiria wa China waliokuwa kwenye ndege ya Malaysia iliyopotea kimaajabu March 8 mwaka huu, wametishia kugoma kula ikiwa hawatapata taarifa kamili kuhusu ndege hiyo kutoka kwa maafisa...
View ArticleCCM yaukana Waraka wa siri unaohusu mchanganuo wa matumizi ya Sh Milioni 560...
Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na wanahabari wa Iringa katika ofisi za chama hicho mapema leo. Katibu mkuu wa CCM Mkoa wa Iringa,Ndugu Hassani Mtenga akizungumza na...
View ArticleRidhiwani Kikwete aahidi Trekta kwa kila kijiji cha jimbo la Chalinze endapo...
MGOMBEA wa Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo mkoani Pwani, Ridhiwani Kikwete ameahidi kuhakikisha vijiji vyote kwenye jimbo hilo vinakuwa na matrekta...
View ArticleCCM yazindua kampeni zake kwa kishindo Chalinze.....Maelfu ya Wananchi...
Mgombea Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ndg. Ridhiwani Jakaya Kikwete akicheza ngoma ya asili. Mama Salma Kikwete akimlaki kijana wake,ambaye ni Mgombea Ubunge wa Jimbo la Chalinze...
View ArticleShabiki afariki dunia wakati akishangilia bao la Yanga Uwanja wa Taifa
Shabiki wa Timu ya Yanga SC, Deodatus Isaya Lusinde, mkazi wa Kipunguni A, amefariki dunia jana jioni baada ya kuanguka ghafla wakati akishangilia bao la Yanga lililofungwa na Didier Kavumbagu katika...
View ArticleMbinu za kumhujumu Rais Kikwete zafichuliwa.....Sitta atoa onyo kali kwa...
BAADHI ya wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wamewaonya wenzao ambao wamepanga kumzomea Rais Jakaya Kikwete wakati akitarajiwa kulihutubia bunge hilo kesho. Onyo hilo walilitoa jana mjini Dodoma...
View ArticleWatu wawili wafariki dunia, saba wajeruhiwa katika ajali ya basi na bodaboda...
Watu wawili wamefariki dunia baada ya bodaboda yenye usajili namba T 293 ARM kugongwa na basi la abiria la kampuni ya Maning Nice lenye usajili namba T624 CQD ambalo nalo lilipinduka baada ya ajali...
View ArticleTaarifa kwa umma kuhusu ukaguzi wa leseni za biashara.....
Afisa Habari wa Wizara ya Viwanda na Uchukuzi, Nicodemas Mushi (kulia) akiongea na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam kuelezea tamko la serikali kuanza...
View ArticleSerikali kuhamia Dodoma Kesho....Hotuba ya Rais Kikwete yasubiriwa kwa...
UONGOZI wa juu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), kesho utahamia katika Makao Makuu ya Tanzania, Dodoma, kushuhudia hotuba ya kihistoria...
View ArticleMwanafunzi wa UDOM ajirusha toka Ghorofa ya Pili hadi chini....
Na. Sylvester Onesmo wa Jeshi la Polisi Dodoma. Mwanafunzi mmoja wa Chuo Kikuu Dodoma – UDOM aliyefahamika kwa jina la KAMUGISHA S/O ISACK, Miaka 24, Mhaya, Mwaka wa Tatu, Kitivo cha Sayansi ya...
View ArticleMabaki ya ndege ya Malaysia iliyopotea siku 13 zilizopita yaonekana umbali wa...
Msemaji wa masuala ya usalama wa safari za ndege Australia, John Young, akiongea na waandishi wa habari. Mabaki ya ndege pichani ambayo kimoja kina ukubwa wa mita 24, yameonekana umbali wa kilomita...
View ArticleBiashara ya Mastaa kujiuza nje ya nchi: Shumileta adaiwa kumuuza Lungi kwa...
Lungi Maulanga. ** Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer...
View Article"Sijaona mwanaume mwenye vigezo vya kunizalisha, Walio wengi na matapeli...."...
Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’ amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni tapeli wa...
View ArticleKishindo kikuu chasubiriwa Dodoma leo....Wengi wataka hotuba ya Rais Kikwete...
Ile hofu ya kuviziana na mbinu za kuteka Bunge Maalum la Katiba, leo ama itaendelea kutawala mchakato wa kutunga katiba hiyo au utafikia mwisho kutegemeana na maudhui ya hotuba ya Rais Jakaya...
View ArticleWalimu wapya waahidiwa kuishi Kifalme mkoani Kigoma....Watapokelewa katika...
KATIKA utekelezaji wa Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa (BRN), Halmashauri ya Wilaya Kigoma, imeamua kuwapokea walimu wapya 430, kwa mbinu ya pekee ili wabaki katika vituo vyao vya kazi. Mkurugenzi...
View ArticleTaarifa muhimu kwa wajumbe wa bunge maalumu la katiba
Katibu wa Bunge Maalum Bwana Yahaya Khamis Hamad anawatangazia Wajumbe wote wa Bunge Maalum kuwa wafike kwenye viwanja vya Bunge leo saa 8:45 mchana ili kushiriki kikao cha Bunge Maalum kitakachoanza...
View ArticleKigogo wa CHADEMA apinga maamuzi ya chama hicho kumvua madaraka
MWENYEKITI wa CHADEMA Wilaya ya Ngorongoro, Revocatus Parapara, amepinga vikali hatua ya uongozi wa chama hicho ngazi ya mkoa kumvua madaraka ya uenyekiti. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini...
View ArticlePicolo Beach Hoteli iliyopo Kawe, Dar es Salaam yateketea kwa moto
Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar es Salaam kwa sasa inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa. Credit: GPL <!-- adsense -->
View ArticleAjali mbaya iliyohusisha magari 6 yatokea Ubungo jijini Dar katika lango kuu...
Ajali mbaya imetokea ubungo lango kuu la kuingilia mabasi yatokayo mikoani. Ajali hiyo imehusisha magari 6 likiwemo UDA .Mpaka sasa haijajulikana idadi ya watu waliopoteza maisha. <!--...
View Article