Ile
hofu ya kuviziana na mbinu za kuteka Bunge Maalum la Katiba, leo ama
itaendelea kutawala mchakato wa kutunga katiba hiyo au utafikia mwisho
kutegemeana na maudhui ya hotuba ya Rais Jakaya Kikwete,atakayowasilisha
bungeni mjini Dodoma leo saa kumi jioni.
Rais Kikwete atahutubia Bunge hilo leo likiwa tayari kwa kuanza kazi ya
kuchambua Rasimu ya Katiba ambayo iliwasilishwa na
↧