Msanii mahiri wa filamu za hapa Bongo, Mayasa Mrisho ‘Maya’
amefunguka kuwa katika pitapita zake zote bado hajaona mwanaume ambaye
anaweza kuwa naye na kumzalia mtoto kwani wote anawaona ni tapeli wa mapenzi.
Akizungumza nasi hivi karibuni Maya alisema kuwa hakuna kitu
anachokitamani kama kupata mtoto lakini kila akifikiria mtu anayeweza
kupata naye mtoto ndipo ugumu unapokuja.
<!--
↧