Lungi Maulanga.
**
Huku kukiwepo na madai ya baadhi ya mastaa wa Bongo kwenda nchi za
nje kufanya biashara ya kujiuza, siri imevuja kuwa, staa wa filamu
aliyepotea kwenye soko la filamu Bongo, Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’
amedaiwa kumuuza msanii mwenzake wa kike, Lungi Maulanga kwa mwanaume
aishie nchini India.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mchongo huo ulifanyika kupitia mtandao
wa
↧